Duration 19:4

Mc pilipili Usiku wa Alpha & Queenlizy (Dodoma)

340 315 watched
0
1.1 K
Published 29 Jun 2016

pilipiliTv

Category

Show more

Comments - 65
  • @
    @kumalijamemorialorganizati62798 years ago Sure mc pilipili your fantastic i like your creativity in ur presentations, your my role model. 6
  • @
    @sarapambe91745 years ago Uko vizuri mc pili nimekupeda bure jomon uje kwenye harusi yangu nikiolewa ishalaa. 1
  • @
    @djkelvinalpha11777 years ago Umenishinda mzee baba we ni mwehu og, saruti kwako video zako nachek muda mwingi unazingua kishenzi unakumbusha shule za msingi we ni hatar. 3
  • @
    @karembobaya94737 years ago Yan hawa maharusi wameendana niwazuri sana. 2
  • @
    @fahadfahmy8 years ago Good one mc chilly nimependa umepiga hatua this time umetry kucreate your ownkuiga wakenya.
  • @
    @halimarukumbwe18986 years ago Ntakuita kwenye haruc yang mc pilipili inshalah.
  • @
    @aishakombo20375 years ago Uko vizuri ila nyimbo bado, dj awe anatazama audience ikoje.
  • @
    @peacefulmbekenga52157 years ago Unatajiwa shule unakumbuka uji wa mchele mabumunda umesahau vibaragale uwii mungu sio kwakipaji hiki.
  • @
    @lilianmassawe6517 years ago Jmn mc pili kaz nzur san m naomb namb nikupe kaz nami natrajia kuwa na send off.
  • @
    @angelisaac37207 years ago Mc naomb jina la hiyo sebeni iliyopigwa baadaa ya wimbo wa ebeneza. Huo anaochez mama mkwe hilo seben nalipenda.
  • @
    @annamarick92358 years ago Nzuri sana big up kwa maharusi wazuri wote na wameendana mno. 4
  • @
    @beatricehaule49907 years ago Jman huo ebenezer nani kaimba? Nisaidieni.
  • @
    @elenmakungu49087 years ago Mc pilipili kw hii ulifunika zote imenikonga moyoo big up bro unawazd wote # na kwang nikikuark naomb uinogeshe lyk hii. 3
  • @
    @wecechiko57227 years ago Jamani huyu dd alifurahi na alichezakweli kumpata mzazi mwenzie hadi wamefunga ndoa.
  • @
    @wecechiko57227 years ago Nilicheka siku ile hadisio. Anapenda kututania wadada.