Duration 3:22

Joto la kisiasa linaloshuhudiwa humu nchini laanza kuathiri uchumi wa nchi

60 watched
0
1
Published 1 Mar 2021

Waajiri humu nchini wametahadharisha kwamba joto la kisiasa linaloshuhudiwa humu nchini limeanza kuathiri uchumi wa nchi na wanataka tofauti zilizoko za kimsimamo zisuluhishwe haraka iwezekanavyo. Haya yanawadia wakati wachanganuzi wa kisiasa wakisema kura ya maamuzi itaandaliwa kwa njia ya amani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive

Category

Show more

Comments - 0