Duration 4:55

UPEKEE WA GHOROFA REFU KULIKO YOTE DUNIANI

14 284 watched
0
77
Published 23 May 2019

UPEKEE WA GHOROFA REFU KULIKO YOTE DUNIANI! KIBONGOBONGO suala la majengo marefu (maghorofa)zaidi yanakadiriwa kuishoia ghorofa 35-40 lakini unaambiwa ghorofa refu kuliko yote liitwalo Burj Khalifa lililopo Dubai lina mambo mengi yenye utofauti na maghorofa mengine duniani. Ghorofa hili limesheheni hoteli za kifahari(Armani Hotels)zenye hadhi ya nyota tano, nyumba za kupanga, vyumba maalum vya mawasiliano na ,maeneo maalum ya kitalii ambayo watu hupanda na kuweza kuona jua linapoanzia kuchomoza. /playlist?list ... /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 5