Ni wakati wa neno la Shukrani katika Misa takatifu ya Upadrisho Jimboni Bukoba ambapo Askofu Methodius Kilaini msaidizi wa Jimbo hilo pamoja na Askofu Almachius Rweyongeza wa Kaynga wameisifu Kwaya kutoka katika Kisiwa cha Gozba Parokia ya Bumbire kwa Uimbaji. Askofu Rweyongeza aoa neno kwa Mapadre wapya. www.radiombiu.co.tz #RmSautiYaFaraja
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for Askofu Kilaini aelezea alivyopatwa na uchungu wa mzazi wakati wa Upadrisho/ Asifu uimbaji wa Kwaya: