Duration 52:33

JINSI YA KUTUNZA NGUVU YA MUNGU UKIWA KWENYE WAKATI MGUMU | UWEZO WA MWANAMKE

81 532 watched
0
515
Published 24 Aug 2017

SEMINA YA NENO LA MUNGU ILIYOANDALIWA NA HUDUMA YA UWEZO WA MWANAMKE MJINI MPWAPWA, DODOMA - TANZANIA SOMO: JINSI YA KUTUNZA NGUVU YA MUNGU UKIWA KWENYE WAKATI MGUMU Huduma ya UWEZO WA MWANAMKE ikiongozwa na Mbeba maono Mwalimu Betty Zanny inapatikana Tabata Segerea, Dar es salaam. Huduma hii inasimamia neno kutoka kitabu cha Tito 2:3-5 Ikiwa na Lengo na Kauli mbiu ya "KUMTIA MWANAMKE AKILI, ILI NENO LA KRISTO LISITUKANWE" Kwenye channel hii utapata mafundisho ya Neno la Mungu yatakayo kujenga wewe kama mwanamke kwenye ndoa yako, au binti kwenye nafasi uliyonayo. Mafundisho haya yanarekodiwa kutoka sehemu mbali mbali ambapo huduma hii ya Uwezo wa Mwanamke inafanya semina katika mikoa mbali mbali nchini Tanzania. MAWASILIANO; Tuma ujumbe wa kawaida au tuandikie message kupitia whatsapp endapo una ushuhuda au maombi kutokana na masomo tunayoendelea kufundisha kupitia channel hii. Namba ya simu ni +255 769 556 663 #uwezowamwanamke #uwezo wa mwanamke #NenolaMungu #nguvuyamwanamke

Category

Show more

Comments - 124