#zff #tff #cocosportscup
Timu ya Juventus kutokea meli nne imeibuka mabingwa wa ngao ya Jamii ya mashindano ya Coco Sports Cup 2021 msimu wa sita dhidi ya timu ya Machicha FC
Ushindi huo wameupata baada ya Mikwaju ya penati 4-3
Mashindano ya Cocosports Cup yanaandaliwa Coconut Fm