Duration 13:48

AMCHUKUA MTOTO WA SHOGA YAKE NA KUMPELEKA KWA BWANA AKIDANGANYA NI WAKWAKE /TUNAMTAKA MTOTO WETU

33 579 watched
0
397
Published 8 Jun 2021

Dunia haiishiwi mambo jamani!Haya hili jingine tena nalileta kwenu tuweze kujadili kwa pamoja na tuone tunalibebaje?Kuna dada alimchukua mtoto waa shoga yake na kumpeleka kwa bwana ake akimdanganya kuwa ni mtoto wake tangu mtoto huyo akiwa mdogo na bwana alimpokea mtoto na kukaa nae akimsomesha akijua ni Mwanae.Miaka imeenda Mama halisi wa mtoto alikuwa akiugua ndipo ikabidi awaambie ukweli ndugu zake kwamba mtoto wake alimpa rafiki yake na amempeleka kwa baba feki kwahiyo alikuwa anaomba huyo rafiki yake atafutwe ili aweze kumrudisha mtoto wake.Ndipo hapo Ndugu walipokuja kugundua kwamba Mtoto amepelekwa kwa Baba ambaye hahusiani nae kwa chochote. Tizama mwenyewe kisa hiki ujionee ya Dunia #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Category

Show more

Comments - 266