RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein
Ali Mwinyi, amesema kufanyika kwa Tamasha la Mashindano ya
Kimataifa ya Marathon (Zanzibar International Marathon – ZIM ) hapa
nchini, kutaonyesha utayari wa Serikali katika kuvutia Wawekezaji,
hususan kupitia sekta ya Utalii.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for RAIS DK.MWINYI AMEKUTANA NA KAMATI YA MASHINDANO YA MARATHON: