Duration 6:30

ANGALIA VIDEO HII YA BAHATI BUKUKU KATIKA IBADA YA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI JUMAPILI 22.05.2016

135 339 watched
0
334
Published 27 May 2016

Bahati Bukuku ambaye ametokewa kupendwa na Bishop Dr. Getrude Rwakatare kwa kujitunza katika wokovu kwa muda mrefu, siku ya Jumapili 22.05.2016 aliweza kuhudumu katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni katika ibada ya UKOMBOZI. Usisahau kutembelea www.mountainoffiretanzania.blogspot.com

Category

Show more

Comments - 31