Duration 4:18

MWAKA HUU NDANI YA CHAMA TUNAO UCHAGUZI, USIWE UCHAGUZI WA KUTUGAWA WANA CCM.

353 watched
0
1
Published 1 Jan 2022

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mkoani Geita Dkt. Doto Biteko amesema mwaka huu Chama cha Mapinduzi (CCM) kitafanya chaguzi zake za ndani hivyo amewasihi wana ccm wafanye uchaguzi wa kistaarabu. #SubscribeuwewaKwanzaKupataHabarizetu.

Category

Show more

Comments - 0