Duration 13:41

Mdogo wa marehemu apata kigugumizi kuelezea kilichomuua Mhandisi Mfugale

11 140 watched
0
28
Published 2 Jul 2021

Mwili wa aliyekuwa mtendaji mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), mhandisi Patrick Mfugale unaagwa leo jijini Dar es Salaam, ambapo Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshiriki katika Ibada ya kumuaga katika viwanja vya Karimjee

Category

Show more

Comments - 18