Duration 1:47

Hivi ndivyo Mzee Karume alivyouawa kwa risasi Sikiliza simulizi ya Mzee Shamte

102 140 watched
0
269
Published 7 Apr 2019

Leo ni miaka 47 tangu kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume kitokee. Azam TV imetembelea eneo ambalo Karume aliuawa kwa kupigwa risasi na bunduki aina ya Short Gun, sikliza simulizi ya mzee Baraka Shamte akielezea kilichotokea siku hiyo. #KarumeDay #AzamTVUpdates #Legend

Category

Show more

Comments - 73
  • @
    @oparetionmaalum9030last year Hatuto sahau maisha yetu kutuulia mzee wetu na nchi yetu itabaki mikononi mwetu milele kama. Walimuua ili lengo waendelee kututawala hapo wamefeli allah mrehem mzee wetu karume amin.
  • @
    @LoloLolo-on8ej2 years ago Pumba tupu yani maisha yote ukweli lazima ufichwe yani duu kesho kwa allah kuna kazi sana yani. 1
  • @
    @zuzubehanafi48924 years ago Wana ccm sindo hao mungu atazidi kulipa siombali.
  • @
    @ussikhamisussi48825 years ago Yeah! Kumefanyika dhulma sana z' bar so, haya mambo si ya kuyashangaa sana. Afu mnalia na muungano wakati msingi wa muungano ulifanyika toka 64 kwa damu zilizomwagwa.
  • @
    @oparetionmaalum9030last year Hizi historia lazima zielezwe kwa vizazi vyetu ili wazanzibari tulio halisi tue wazalendo na taifa letu.
  • @
    @richardboaz-mashagospel23462 years ago Kuna nini kilichosukuma watu hao kutekeleza hilo? Walirubuniwa? Au walikua wapinzani? Au tatizo nini?
  • @
    @francisnyaji50005 years ago Uyo humudi anabalaa kumbe ni captain wa jeshi duu. 3
  • @
    @jarsjam88945 years ago Kauliwa kwa subra machinegun sio bastola. Humudi alikuwa na sababu ya kuuliwa babake na nyerere akaongeza. 2
  • @
    @prophetstories12843 years ago Sina shaka na mauaji lakin na mashaka nikwajinsi gani aliuwawa, msimuliaji anaonyesha ukuta ulivyotoboka kwa risasi, swali alikuwa anakwepa au. 1
  • @
    @fugameza60114 years ago Humudhata hivyo maana ilikuwa walio kuwepo pale woote ilikuwa iwe kama january 12 juwa kuchomoza zanzibar huru jina tanzania yaani wa pumbaav hata siku haikutimiya washazamani na wa tanganyika shenz twice lililo baki sasa kila siku wanzuwa ujinga tu mara vitambulisho yaani miaka 56 bado hawajuwani shenz kabisaa. ...Expand 1
  • @
    @abdulrahmansalim97733 years ago Okelo anajifanya kidume kakimbia msimchezee mwenda kimnya be aware.
  • @
    @abdulrahmansalim97733 years ago Okelo anajifanya kidume kakimbia msimchezee mwenda kimnya.
  • @
    @jabarmalid53935 years ago Siku zote nlizani walikua wamekaa jamvini kumbe ilikua viti. 1
  • @
    @ahmedadan19153 years ago Humudi alikuwa sawa kwamana karume alitesa watu sana pia aliuwa watu karume alistaili kuuliwa.
  • @
    @abrahamhassan3515 years ago Alichokipanda ndio kavuna karume hahaha kauwa wananchi wa zanzibar wengi tu wakati anaipinduwa serikali ya halali ya wananchi wa zanzibar iliyoshinda uchunguzi wa mwaka 63 hahaha. 5
  • @
    @abdulrahmansalim97733 years ago Mwenyezi mungu mkubwa haki analeta wakati wowote msijisahau.
  • @
    @BESTTV1LIVE5 years ago Kizazi cha sasa tungependa kujua nini kwani? Kulikuwa na nini kilichopelekea humudi kuchukua maamuzi hayo? 8
  • @
    @ahmedelalawi61435 years ago Bada ya kuwawa kwa karume kidogo ilitupa afuweni sisi warabu maana tulikuwa tunaumia snaa kutoka moyoni mwetu, kwasbabu ameuwa familia zetu nying mno id="hidden5" tena kinyama baada ya kuuwawa kwake warabu tulifurahi sana na allah amelipa hapa duniani aone na yeye machungu ya kuuliwa. ...Expand 2
  • @
    @omarysaid54075 years ago Kwan yan uyo jamaa angekuwepo mbaka sasa sisemi.
  • @
    @barwani890last year Kwanini mnaficha ukweli mnamtukana humud kama tudiin tu daan.
  • @
    @mrok2842 years ago Sasa huo nkweche wafanya nini humo ndani.
  • @
    @barakakazumari85735 years ago Hahahahahahaha eti ccm wasasa wanajifanya kwamba hawatambui kama nyerere ndoaliomuuwa.
  • @
    @mbwanamungia99213 years ago Ilikuwa majira ya saa ngapi mzee kapigwa risasi?
  • @
    @gangmore90912 years ago Malipo hapa duniani ameuwa n yeye ameuliwa tena n rafiki yake kipenzi alompa chama adi kumuweka madarakani chezea nyerere.
  • @
    @saadsalum32535 years ago Alitaka auliwe sindio faida hiyo ya muuganiko wanchi mbili yeye kafa na wazanzbr kawauwa lakn ataenda kujibu mbeleni huko. 1
  • @
    @solomonadams63372 years ago Uon' go mtu wewe mpumbavu m' kubwa.
  • @
    @dennismsele66925 years ago Karume alikua mwoga tu acheni unafiki wa kumpaisha karume mbona hamumtaji john okello? Acheni unafiq karume hamna kitu. 1
  • @
    @abdulrahmansalim97733 years ago Okelo anajifanya kidume kakimbia msimcheze simba mwenda kimnya be aware.
  • @
    @fugameza60114 years ago Humudhata hivyo maana ilikuwa walio kuwepo pale woote ilikuwa iwe kama january 12 juwa kuchomoza zanzibar huru jina tanzania yaani wa pumbaav hata siku haikutimiya washazamani na wa tanganyika shenz twice lililo baki sasa kila siku wanzuwa ujinga tu mara vitambulisho yaani miaka 56 bado hawajuwani shenz kabisaa. ...Expand 1
  • @
    @ahmedelalawi61435 years ago Bada ya kuwawa kwa karume kidogo ilitupa afuweni sisi warabu maana tulikuwa tunaumia snaa kutoka moyoni mwetu, kwasbabu ameuwa familia zetu nying mno id="hidden10" tena kinyama baada ya kuuwawa kwake warabu tulifurahi sana na allah amelipa hapa duniani aone na yeye machungu ya kuuliwa. ...Expand 2