@wemakalam94156 years agoI appreciate always team kazi forever music for life 4
@
@kisombolaestate84256 years agoKing kiba kwahiyi ngoma nakukubali mimi nifane wa mond lakini kwahiyi ngoma nitakufuata popote ulipo. 5
@
@ahmedtwalib23655 years agoIts time tena we need this as soon as possible.
@
@sponsalfathedj81776 years agoKings music toeni hio nyimbo kali sana. 2
@
@yusraibrahim82185 years agoHa nyie watutu hayatu aiya sawiya mnaikumbuka. 1
@
@halfahalfa97285 years agoKumamae hawa wasenge kazi zao hawakosei yani much respect to king of music. 2
@
@elizafelix16 years agoU guys kill me. Please alikiba do something bcoz tuna taka iyo song i love iyo song so much. Beautiful girl. 5
@
@deebrown79085 years agoActually alikiba is very good in your team every time is very happy. 2
@
@allydullarpateina15614 years agoHvi kwann hilo goma kiba asiliachie tu.
@
@iddafr71716 years agoToani nyimbo msiwe nyuma sana bhn kings music haipo active. Fanyen kazi wasanii wazuri mnao uwezo mnao pia.
@
@hamisikitsao5706 years agoHii ngoma ni kali sana itoeni tuisikize.
@
@wemakalam94156 years agoNawapenda kila kukicha tunamatumaini kwa kweli mweenyezi mungu awabariki msitengane daima music forever @ abdu kiba @officialalikiba na team nzima asanteni wacthing from saudi arabia nawapenda sana good music ever . .....Expand1
@
@jaffarykill14325 years agoSimba wa wcb anafanya watu awalali kwapumba zao.
@
@elizafelix16 years agoYeyote ambaye ame dislike ana wivu na wasanii wetu. 24
@
@el-shadaichiorchaduru85926 years agoToeni basi hiyo ngoma jaman kwa nn lkn tunanyanyasana hivo pamoja na video ya jeraha.
@
@ashaally69936 years agoAchieni basi jamani wengine tunakeshea huku kuangalia kama dude lishaachiliwa. 3
@
@lutusammid5716 years agoOi abdu hilo goma boss anatoa lini maana ni kwikwi asee tamu sana. 1
@
@wemakalam94156 years agoNawapenda kila kukicha tunamatumaini kwa kweli mweenyezi mungu awabariki msitengane daima music forever @ abdu kiba @officialalikiba na team nzima asanteni wacthing from saudi arabia nawapenda sana good music ever . .....Expand1
much respect to king of music. 2
every time
is very happy. 2