Duration 2:41

KISIWA CHA MAZIWE, TANGA,PANGANI.

368 watched
0
4
Published 11 Jun 2020

Kisiwa cha Maziwe ni kisiwa kilichopo Pangani,mkoani Tanga. Kinapatikana kilometa 8 kutoka ufukwe wa Tanzania bara na kisiwa hiki hupotea wakati wa majii kujaa na huonekana wakati wa maji kupwa. Hufikika kwa kukodi boti. Shughuli zifanyikazo wageni wanapotembelea kisiwa hicho ni kuzamia na kupiga mbizi. Samaki zaidi ya aina 400 na matumbawe (corals) zaidi ya aina 35 hupatikana katika maeneo yanayozunguka kisiwa hicho. Ni Zamu yako Mtanzania kutembelea kisiwa hiki, twende tukatalii.

Category

Show more

Comments - 0