Duration 1:6

Goli la Mukoko Tonombe | Kagera Sugar 0-1 Yanga - VPL

121 592 watched
0
358
Published 19 Sep 2020

Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kunyakua pointi tatu muhimu katika dimba la Kaitaba mjini Bukoba, baada ya kuifunga Kagera Sugar kwa bao 0-1, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Goli pekee la Yanga lifungwa na Mukoko Tonombe akimalizia mpira wa Tuisila Kisinda. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 38