Duration 11:42

HIVI NDIVYO TEMBO ANAVYO ZAA KWA MATESO MAKUBWA SANA

190 watched
0
2
Published 17 Nov 2021

USIYOJUA KUHUSU TEMBO: 1. Tembo ana wastani wa uzito wa tani 7 (kilo 7,000). 2. Tembo hubeba mimba miaka 2 3.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80 4. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40 5. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu. 6. Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka 60. 7. Tembo hufanya mapenzi kwa masaa 12. Masaa 6 ya mwanzo huyatumia kumuandaa mwenzi wake, na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe. Na hiyo ni ile raundi ya kwanza (bao la kwanza). 8. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne. 9. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano (yaani chupa kumi za bia) 10. Tembo hapendi kelele kabisa. DON'T KNOW ABOUT ELEPHANT: 1. Elephant has an average of 7 tons (7,000 kg). 2. Elephant carries pregnancy 2 years 3. The baby is born with 80 kilograms 4. The food of elephants per day is 300 kg and 40 liters of water 5. The elephant's penis is 27 kilograms, when you see it in the back of the vagina you can feel three feet. 6. The average age of life is 60 years. 7. Elephants are having sex for 12 hours. The first 6 hours they use to prepare their partner, and the remaining 6 are the activity itself. And that's the first round (first goal). 8. The male elephant has two to four women. 9. Scoring a male elephant her sperm is about five liters (ie ten cups of beer) 10. Elephant does not like the noise.

Category

Show more

Comments - 0