Duration 18:58

MTOTO GENIUS WA DARASA LA 4, ANAFUNDISHA SAYANSI SEKONDARI NAFUNDISHA WALIONIVUKA MADARASA NA UMRI

197 456 watched
0
1.5 K
Published 16 Jun 2021

Sharifat Hytham ni mtoto wa Kitanzania mwenye miaka 8 akiwa anasoma darasa la 4 katika Shule ya Yemen Dar es Salaam. Ayo TV na Millardayo.com imekutana na Sharifati ambae ana uwezo wa hali ya juu unaowashangaza wengi ikiwemo kuwaombea watu Dua, kuwafundisha Wanafunzi wenzake waliomzidi umri na kidato.

Category

Show more

Comments - 634