Duration 4:20

Baba ya Fifi ni nani – Nyavu | Maisha Magic Bongo

55 065 watched
0
473
Published 10 Jun 2020

Baada ya heka heka zilizopita, Sudi alijeruhiwa, lakini alinusurika. Shani na Stoni wanaongea. Heri anamtembelea Ida kumjulia Sudi hali. Katika mazungumzo yake na Ida na kutokana na mapenzi yao yaliyopita, swala mufti linazuka! Ni nani Baba mzazi wa Fifi? --- Endelea kutizama DStv chaneli 160 Official Website: https://maishamagicbongo.dstv.com/ Watch more series and movies on Showmax, start your 14 day free trial here: https://bit.ly/36PFSr0 Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo

Category

Show more

Comments - 37