Duration 18:59

PAUL MAKONDA AELEZA SABABU ZA KURUDI SHULE / KUPOTEZA MARAFIKI NA NIA YA KUREJEA KWENYE SIASA

43 568 watched
0
226
Published 23 Apr 2021

Category

Show more

Comments - 137
  • @
    @EdwardSindayigaya3 years ago I am from rwanda, and i follow yr politics day to day coz i love you so much guys, but in particular i love mr paul makonde. 8
  • @
    @frankkassongo66393 years ago Best interview of 2021 makonda nime tokea kukupenda sana. Endelea kumfuta pastor chris oyakelome, phd. Kweli uko fresh kaka. 4
  • @
    @user-tq7yh5mo9m7 months ago Mweshiniwa hongera sana mkuu ninakukubali.
  • @
    @Hillaryedith73 years ago Well said mr makonda former regionslessalasm. It is inspiring! 1
  • @
    @nenadurra84773 years ago We support you makonda, you are better than anybody, believe me! 2
  • @
    @eddymatrix87043 years ago Dah nimepaenda msemo uliosema kukosea sio dhambi. Asante paul. 5
  • @
    @joycelambwe90163 years ago Huyu paul makonda nampenda sana yuko vizuri sana kwenye uongozi, mungu umeona tunashukuru kwa baraka hizo na ziendelee. 3
  • @
    @Mwarobaini3 years ago Huyo ndo mtu pekee ninaemkubali na kumheshimu, makonda yuko juu sana. 14
  • @
    @africa74793 years ago Nimepnda mtangazaji et mimi ni mtazamaji wako, akaibadilisha juu kwa juu safi sana. 2
  • @
    @tatukapilimba45353 years ago Huyu jamaa ni very potential kwa taifa, na ni mbunifu sana kushinda hata viongozi wengine waliopewa nafasi kubwa za uongozi. I miss you alot big bother. . ...Expand 11
  • @
    @kyaruzidativa93983 years ago Wewe nikiongozi mzuri sana naendelea kukukubari makonda. 2
  • @
    @jamessilwamba42593 years ago Ushauri wangu ukitaka kuwa kiongozi mzuri kwanza heshimu watu wa aina zote wa chini na walio juu yako pia na usiwe mtu wa kibri ukiwa na madaraka halafu . ...Expand 3
  • @
    @florakweyunga44907 months ago 10/10/2023. Yaani mkoa huu wa dar ni mgumu sana. Lakini uliweza kakangu. Wanao kuchukia wakajitundike.
  • @
    @haroldtere75153 years ago Ongera makonda. Kiongozi ni wito! Siyo elimu ya chuo! 1
  • @
    @radhiasalum71563 years ago Nakukubali sana we mzalendo moka akusimamie. 2
  • @
    @najma32683 years ago Interview nimeirudia zaidi ya marambili, kaongea vzr sana, kagongelea na nyundo, nimefanya kumsikiliza kwa makini kwakweli. 4
  • @
    @theophilmakumbuli7 months ago Mngu akubari kaka kiongoz mwenye kiu ya haki hakika naamin ipo sku mngu atakukumbuka.
  • @
    @deomugu16163 years ago Have my respect all the way. Barikiwa sana kaka. 3
  • @
    @emilymideva87833 years ago Woow nice interview mr muheshimiwa makonda frm kenya 254 2
  • @
    @lusajomwaipopo50423 years ago Ujasusi wa uchumi ktk inchi hii ndiyo shida.
  • @
    @samsonmaurice103 years ago Nimependa sana huu msemo wako mkuu, " usiogope kuonekana wa ajabu kama una jambo. 8
  • @
    @eyumededu29483 years ago Nampenda huyu kaka ni viwango vya wazalendo
    nakuombeq kheri baba.
    5
  • @
    @johnntabagi88613 years ago Makonda makondaa nakukubali mkuu huwanaamini ipocku utakaajuu zaidi ya pale ulipokuwa awali. 1
  • @
    @rizikimgimba84433 years ago Makonda amesema mambo makubwa juu ya kufunguka ufahamu wa vijana wa african hasa wa tanzania kushangaza mataifa kwa kijiongeza kimawazo nakiubunifu natamani nipate namba yake tuzungumzie ayala hiili. 2
  • @
    @halimamasai22343 years ago Hongera sana makonda tu akusubiri 2035 inshalaah. 2
  • @
    @zaym7769last year Ndio maana nilikukubali sana na kukutetea sana japo nilitukanwa sana.
  • @
    @frankkaijage97263 years ago Makonda big up. Kwa kweli dar kumepoa kabisa. Tumetambua umuhimu wako.
  • @
    @emmanuelsamba25713 years ago Shida ya wabongo fikra zao zinakariri siasa ni unafki nasio taaluma.
  • @
    @namukwayamweshihange88663 years ago Nikweli kabisa very intelligent. Well done. 2
  • @
    @innocentwilliam12143 years ago Alisema wakufunzi wanafundisha angali hawawezi kuongoza hata panya! Du. 2
  • @
    @queenlinda2553 years ago Umeivaa kaka akili imekuwa zaidi na zaidi. 3
  • @
    @sylvestrengwelu20123 years ago Mh. Makonda hongera kwa hatua hiyo ya kuongeza ujuzi kielimu. Elimu haina mwisho. Hakika una focus nzuri. Mungu akubariki sana.
  • @
    @erastonicholas55893 years ago Wewe umeenda kulima kujificha mihela ulio piga. Eti kilimo kabla ya uongozi mbona kulikua hulimi? Hunaga rafiki mbona riziwani ulitenda ukasema muuza unga wewe damu za watu zina kusubiri mumeua sana. 1
  • @
    @hamisinyanga4579last year Paulo makonda ni puntin wa afrika lakini hawakumuelewa lakini sasa. Putin wa urusi kaiga. Kwa paulo makonda.
  • @
    @shukurually8769last year Mwambie arudi tn kugombea kigamboni tunamuitaji sn huyu aliopewa dhama hana jipya.
  • @
    @daviddouglas89437 months ago Bashite kama bashite, hebu rusidha vyeti vya makonda mwenyewe kwanza, daud bashite wa kolomije.
  • @
    @djpassovertz..tunaishimaramojalast year So umesomea jina gani daudi bashite au jina la kununua? Paulo makonda wa wahaya?
  • @
    @fatmakombo75843 years ago Wewe tayari ushakula maisha waachie wenzio shida utakayopata una kiburi sana mzee.
  • @
    @awesasaladi59483 years ago Mh paul makonda alikua kiongozi anayejiamini sana jitahidi kaka urudi kwenye uongozi sipati furaha ninapokuona huna cheo mkuu. 2
  • @
    @BETConlineTVTZ3 years ago Huyu jamaa ana akili sana amini nawaambieni tutamuona mbali. 3
  • @
    @AbdulnuruMbaraka-me9rilast year Kijana nimekuelewa na nataman ulud kundini.
  • @
    @naitwahazina64333 years ago Kaa ukijua watanzania tunakupenda sana.
  • @
    @godfreymlay60692 years ago Utakoma kujuwa hiyo phd yako omba sana mungu vinginevyo utaipatia jela itoshe mm kusema kila ufalme una mwisho wake.
  • @
    @seifmohamed8363 years ago Kwani mpk shv analindwa na police ama yuko peke yake au ndio full ulinzi. 1
  • @
    @frankkassongo66393 years ago Phd baba join our world. Welcome to the world of phd. 2
  • @
    @yahyahamad18023 years ago Ulikosea sana kuwashutumu watu na kuwataja majina hadharani kua wanuza madawa ya kulevya au wanatumia na ukatoa amri waekwe ndani nakushauri uombe radhi. 1
  • @
    @epimackoscar25last year Mbali na mapungufu uliyonayo kama binadamu lakini una vitu vingi ambavyo vijana wenzio tunajifunza kutoka kwako.
  • @
    @benny4345last year Tell him it isnotnegotiations nina siyo professionals. And he is enrolled at one of the top 5 universities.
  • @
    @magdalena72233 years ago Kila sk kilio changu hy mtu awepo ktk uongozi tena maana hk kichwa simchezo tumemis uwepo wako baba. 2
  • @
    @joviangeofrey8663 years ago Kilimo ndiyo kila kitu ila mje niwauzie miche ya vanilla.
  • @
    @milomohamed72013 years ago Huyu ni kiongozi mjinga na ataendelea kuwa mjinga iwapo
    ndani ya dar hamna kitu alivhokifanya zaidi ya kupandikiza chuki miongoni mwa jamii. Foolish kabisa daud albert bashite.
  • @
    @benny4345last year Stop glorifying criminals! That guy is a criminal!
  • @
    @shedrackamos40213 years ago Moja ya viongozi ninao wakubali sana endelea kusoma kiongozi naamini phd unaipata kama yalivyomalengo yako. 2
  • @
    @jayjay43133 years ago Kumbe ni kozi. Diploma miaka 3, mazee. Diploma za kozi kama tukianza kila mtu atoe zake, kuna watu wanazo mia humu, ukisoma we kausha tu na vyetu vyako kavitumie ukiomba kazi. Bongo kwa kicki shikamoo.
  • @
    @wazirmasokola59513 years ago Unao usubutu wakufanya maamuzi uogopi ukilipanga jambo zuri lenyena ww. 1
  • @
    @waheedahtanzania49123 years ago Natarajia 2025 inshaallah uje kuwa rais wetu wa tanzania maana una kila sifa mashallah. 1
  • @
    @seifmohamed8363 years ago Kwani wewe makonda umemaliza kazi yako ama uliachiswa kazi yako kwa tamaa zaubunge na wana ccm wakakupiga chini kigamboni hatr.
  • @
    @sponsor78823 years ago Darasa la saba tu ilikushinda sembuse phd. 1
  • @
    @afropatriot77693 years ago Natumain pia umejifunza jinsi ya kuanzisha mambo ambayo unaweza kuyamaliza kwa akili bilakuheshimu watu na kutokua na ego. 2
  • @
    @fredrickjohn84123 years ago Zero braini inaongea pumba, bado anandoto ya kuwa kiongozi, mshenzii kweli.
  • @
    @alisele52993 years ago Makonda kiongozi; mambo madogo tu & nidhamu ndio vilivyo mkwamisha, viva makonda. 1