Duration 2:53

Kangi Lugola ‘alitibua’ bungeni, ni kuhusu Mbowe, Spika Ndugai aingilia kati

8 351 watched
0
51
Published 13 Jun 2020

“Mimi ninachokiangalia zaidi hapa ni kama mtu amesema uongo…kwa hiyo kama mtu amesema ukweli, basi ukweli utabaki kuwa ukweli,” Spika Job Nduga akimjibu Ester Bulaya aliyeomba kiti cha Spika kimuelekeza Kangi Lugola juu ya kauli za tuhuma dhidi ya Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe. #Bungeni, #BungeniDodoma #MboweAvamiwa Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 28