@bahatikahogo4014last yearAsant sana mdada nainjy sana na mafundish yako.
@
@jamilaalmarzooqi48453 years agoDada mambo mimi naonba mazoezi ya hps na makalio. 3
@
@happnesswalyes73262 years agoNahitaji kupungua tumbo lng ni la oprestion je nifny zoezi gani ili nipungue hili tumbo?
@
@joycezawadirose98972 years agoJamani asantesuhuhu la kuimaliza tumbo.
@
@irhadiddi942 years agoDada ikiwa unatakakiwa ufanye mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jion wiki mara 3 sasa mimi nafanya jioni tu jee nikifanya kila cku iyo jioni itakuwa nakosea au ata iyo jioni pia nifanye wiki mara 3. 2
@
@glorymbwambo66503 years agoAisee haya mazoezi kiboko siku 4 mambo poa lkn mwanzoni utaumia makalio yanauma miguu inauma sana.
@
@leahnzali53173 years agoNaweza kupata mazoezi yakupunguza tumbo na kuongeza hips. 2
@
@nuruemmymkayula8613 years agoMama mjamzito anaruhusiwa kufanya haya mpaka mwisho wa miezi mingapi?
@
@user-bs6tt1sr3t10 months agoNaomba no yako dada nimependq haya mazoez.
@
@peterorage13493 years agoNilikuwa naomba nayako ili tuchat wasp na uniambie jinsi yakupangilia chakula na maezo zaidi. 2
@
@angeljohn69612 years agoHello dada nilikuwa naulz kwa ck unatkiwa kufanya mara ngp na ukae ck ngp ndo ufany tena mazoezi ya makalio.
@
@Emmymajula58382 years agoHii nzuri sana mi mwenyew saivi alhamdulillah.
@
@elizabethjuma15483 years agoNaomba unisaidie huo mpangilio wa chakula dada. 1
@
@dottosamson80803 years agoMatako nmeyapata mama ila bado hips naona tako tyuu ndo linaongezaa nisaidie best .
@
@happinessonsongo37542 years agoMore love to you mum nakupenda sans nimetoka 48kg adi 57 nimeshukuru sana umenipadirisha sana.
@
@samsonimazemle-qf7ywlast yearHabari nahitaji mpangilio wa vyakula kwaajili yakupunguza uzito.
@
@user-ly1vw9wk2r3 months agoDada nisaidi mm naitaji kario naips kisi kidg.
ila bado hips
naona tako tyuu ndo linaongezaa
nisaidie best .