Duration 9:50

Makaa ya Mawe Ludewa rasmi kuanza kusafirishwa/mkaa upo wa kutosha/Fursa za kutosha kwa vijana.

3 008 watched
0
41
Published 18 Jan 2022

Mradi wa makaa ya Mawe Ludewa chini ya kampuni ya Maxcoal umekamirika Sasa rasmi kuanza kusafirishwa/transportas wanakaribishwa kuleta Magari ya kubeba mkaa huo mkaa upo wa kutosha Fursa za ajila za muda na za kudumu zinapatikana Fursa za biashara pia zipo

Category

Show more

Comments - 12