Duration 11:26

LIVE: HAJI MANARA ALIVYOCHEZA NA ZUCHU JUKWAANI NYIMBO YA SUKARI

231 050 watched
0
1.2 K
Published 31 Jan 2021

Msanii wa Bongo Flavour Jukwaani Zuchu kutoka Kundi la WCB kwa mara ya kwanza alipata nafasi ya kufanya Show katika uwanja wa Mkapa na mbele ya Mashbaiki wa Mpira akiwa na nyimbo yake mpya ya Sukari aliyoachia hivi karibuni. Msemaji wa Simba Haji manara alionesha upendo zaidi na kupanda Jukwaani kucheza na Zuchu tukio ambalo lilipendwa sana na Mashabiki wote waliojitokeza Uwanjani kushuhudia mpambano mkali kati ya Simba SC na TP mazembe kutoka DRC Congo kwenye fainali ya Simba Super Cup mechi iliyowakutanisha vigogo hao wote wanaoshiriki Michuani mikubwa ya Klabu bingwa Afrika huku mchezo huo uliisha kwa sare ya bila kufungana na Simba SC kubeba Ubingwa kama moja ya Timu iliyokuwa na Magoli mengi katika Michuano hiyo iliyowakutanisha vigogo hawa. Simba SC kutoka Tanzania TP Mazembe kutoka Congo Al Hilaly kutoka Sudan

Category

Show more

Comments - 101