Duration 9:27

DC MWAIPAYA AWEKEWA KINYESI CHA TEMBO KWENYE MKUTANO TUJARIBU TUONE

55 791 watched
0
248
Published 8 Jul 2021

Mkuu wa wilaya ya Mwanga Abdallah Mwaipaya amefika kwenye kata ya kwakoa wilayani Mwanga nakutoa vifaa vyakuwafukuza tembo ambao wamekuwa wakileta athari mbalimbali ikiwemo kuua Watu pamoja nakuharibu mazao Pamoja na hayo miongoni mwa vifaa vilivyokabidhiwa kwa Wananchu hao ni pamoja milipuko pamoja na kinyesi cha tembo kilichochanganywa na pilipili ambacho kimewekwa mbele yake ambapo wataalamu wameonyesha jinsi yakumfukuza tembo

Category

Show more

Comments - 66