Duration 1:51:13

Ndoa tata kumtamani mamamkwe naamri yatalaka wakiwa wamevaa kama walivoowana

211 611 watched
0
1.8 K
Published 23 Jan 2021

Category

Show more

Comments - 1340
  • @
    @josephinekwaselema55663 years ago Dah minimkisto lakini shekhe nakukubali mwenyezi mungu aendelee kukujalia Maisha marefu maana unayoyafanya nizaidi ya upendo kwa binadam wenzako 14
  • @
    @hamisinuru29373 years ago Sheikh Othman Michael hongera sana kwa counselling nzuri iliyofuata processing za counselling zimenipelekea kumkumbuka mwalimu wangu Dr.Lugoe (chuo cha Duce) wa course ya guidance and counselling.Watu wengi wanajifunza kupitia vipindi vyako kwani ndoa nyingi za sasa ni za mwendo kasi na wanandoa wengi hawana uvumilivu na hawana tabia ya kuficha mambo ya ndoa na hili ndiyo tatizo kubwa kwani si kila mtu anapaswa kuwa counsellor na tatizo lingine wanandoa wengi hatuswali na kujua dini inatutaka nini kwenye kila jambo tunaloliendea.Ndoa ni ibada inabidi tuiheshimu sana na hatuhitaji kuifanyia mzaha. ... 3
  • @
    @HasnutMfuruki4 weeks ago Shakh othman allah akupe Amani na ibda zako.ziwe Qobol 1
  • @
    @yusufuheri65243 weeks ago Daaaah inauma asikwambie mtu ila sheikh wangu asante kwa hekima zako za namna unavyo suluhisha 1
  • @
    @daishajumanne59903 years ago Nime amini msema peka haitimu uyu mwanamke mwanzo kajaza maneno kabda mume ajaitwa na mume alivyo kuja tume yajua mengi zaidi juu ya huyu mke ila mashaAllah shekhe umefanya kazi kubwa 3
  • @
    @sakinahasani31083 years ago Allah akuhifadhi shekh kipindi kinaelimisha sana 😍 3
  • @
    @fatumakingi97537 months ago Mwenyezi mungu atakulipa sheik fildunia wal akhera mana hii kazi ngumu
  • @
    @lalilaally200last month Wallahi shekh mashaAllah Allah akujalie kheri 1
  • @
    @khamisoothman52943 years ago Subhanallah Allah Akbar huu ni mtihani mzito pole sana sheikh Othman una kazi kweli Allah akulipe kheri akulipe jannat firdaws. 14
  • @
    @suleimanitabwambwa26333 years ago Masheikh kama nyinyi mpo wachache sana duniani! Allah amekupa hikma na aliyepewa hikma na Allah amepewa kitu kikubwa kabisa!! Allahu akbar!! 4
  • @
    @user-uf6hw6rf9t6 months ago Mashaallah umebarikiwa sana shekhe na hii ni hekma ya hali juu umeitumia kwa hakika nimejifunza sana
  • @
    @angelsylvester47953 years ago Shekhe nime sikiliza kwa uzuri hata huyu bibi anashida tena haswa khakika ulichofanya shekhe kumuita mume jambo jema sana mola akupe umri shekhe na khekima zaidi🙏🙏🙏😍 2
  • @
    @mwnaidibushuti99583 years ago mashalla nakupenda shekhe othuman I kwa ajili ya Allah na mungu Ata kulipa khery kwa kunusuru ndoa hii 4
  • @
    @nzeyimanaaisha64373 years ago MashaAllah sheikh Allah akupe umri mrefu uzidi kutuelimish na akuzidishie taufiq twakupenda kwa ajili ya Allah 5
  • @
    @aminairakoze41713 years ago Masha Allah Masha Allah , mwenyezi Mungu akujaze kheri sheikh na Akupe mwisho mwema. Na kwa waislam wote wolioko katika ndoa Allah azidumishe ndoa hizo na aziongeze mahaba na huruma. 2
  • @
    @mahramarswad60413 years ago Shekh sijui hata niseme nini haya tungeyapata na huku 🇬🇧 UK asingeachika mtu wallahi mungu akupe kila lakheri akujaalie pepo ya Allah ya daraja lajuu manake sijui niseme nini naskia raha nikiona hivi kitengeza nyumba za watu kama hivi si mchezo mashaa Allah akulipe kila lakheri Amin yarabil alamin 🤲🤲 ... 1
  • @
    @pendopendojoshua76243 years ago Ee mwenyezi Mungu umpe zaidi hekima na maarifa huyu shekhe aendelelee kunusuru ndoa nyingi, Mwenyezi Mungu akubariki 4
  • @
    @khayriyamussa81083 years ago Sheikh Allah akupe umri mrefu kwakweli unahekma,busara,Imani Allah akulipe kher In Shaa Allah.. Na Sisi Allah atujaalie tuwe wenye subra (Amiin) 21
  • @
    @sikukuuabdallasikukuuabdal52783 years ago masha Allah masha Allah shekhe kwa hekima ulio nayo Allah akuzidishie kila lenye heri zaidi akupe na umri twawiil napenda sana nasaha zako masha Allah.🇰🇪 5
  • @
    @medomary64502 years ago Shekhe Allah akupe umri mrefu na subra katika maisha yako yote hakika nimejifunza mengi kupitia video zako Insha Allah naomba Allah anikutanishe nawe 1
  • @
    @user-wv2uy6iz5h3 years ago Allahu Akbar,furaha kubwa kwa sulhu njema ,machozi kugeuka tabasamu,Allah aitilie nuru ndoa yenu,sheikh wetu ALLAH atakulipa jazaa njema fii dunia wal Akhera 15
  • @
    @husnaodhiambo68483 years ago Asalam Aleikum. Mashallah Shk. Othman Wallahi Bilahi dada nakufeel juu mimi pia Niko kwa ndoa kama yako. Shukran kwa hii msamaha Karim Jazakalau Kher Inshallah. Mashallah Tabaraka Allah kurudiana Allah awaongoze ndoa yenu dada yangu Mashallah ... 17
  • @
    @mariamchonde93643 years ago Mashaallah Kaka mungu azidi kukulinda daaaah nimelia kwakweli mm ni mschana pia nilieomb talak kwa mume wangu natukaachn Nika mrudishia mahari yake japo skumuacha kwa tamaa za dunia Wala kushawishiwa wallah huy dada kanifurahisha kafanya vizur San kurud kwenye ndoa yake alhamndulila ... 1
  • @
    @yasodishonest97923 years ago Nimecheka kama mazuri😂😂mashaallah mashaallah. Shekhe OTHMAN mungu akulipe wallah❤ 10
  • @
    @Khamis-zf6be3 years ago Mashaa Allah,Allah aibariki ndowa yao na ndowa zote za jamii Islam🤲🤲🤲 5
  • @
    @qhatramohamed70063 years ago Subhana-Allah sheikh othman ALLAH azidi kukupa hikma ya kuzinusuru ndoa za waja wa ALLAH tuko (Nairobi kenya) 2
  • @
    @djramzadullaz67624 months ago Mashaallah barakallah, Namshukuru Mungu sana 1
  • @
    @mimiwewe66173 years ago Shukrani Sheikh kwa kuwapatanisha, Allah atie barkah katika ndoa yao... 12
  • @
    @mukusinsuleyman72063 years ago Yah nimecheka kwa fulaha kubwa Sana eeh yalab nami nikipata mke mwema tunapokwazana tupate nasaha mzur kama izi kwakwer nimejkuta nataman kuwa na mke😭 shekh Allah akupe maisha marefu amina 4
  • @
    @shamzone3883 years ago Mash allah unastahil pongezi kubwa shekh kwa hikma zako
    Wallah hikma ulizopewa na Allah ni kubwa sana aALLAH AKBAR
    2
  • @
    @shaymaahmed87463 years ago MASHAALLAH Shaykh MUNGU akulipe ijtihada zako MASHAALLAH TAKBIR 1
  • @
    @amidanafula34943 years ago Sheikh Allah akujalie akupe maisha marefu hapa Dunia na kesho ahera 6
  • @
    @ZainabZainab-tv9ir3 years ago Mashaallah ongera sana sheikh allaah akup maishamarefu uzidi kutuongoza 🇧🇮 7
  • @
    @jumahassan69222 years ago Alha atujalie mwisho mwema shkhee mungu atufanyie wepes tukutane peponi ilshah
  • @
    @zuhurazuu44583 years ago Allah Akbar Allah akupe umri mrefu shekh
  • @
    @al.mansoor_baluch66473 years ago Mwenyezimungu aninusuru ktk ndoa yangu
    Inshallah 🙏
    3
  • @
    @raheemdaru3 years ago Wallahi mwalim umetumia hekma kubwa sana ktk kulisuluhisha hili jambo. Mwenyezimungu azidi kukufungulia maarifa 6
  • @
    @rallyscosmeticandgasaccess48396 months ago Alahu akbar Alahu akbar Allah akupe subra 1
  • @
    @nkurunzizaabdul-aziz72113 years ago Barakallah Fihi Allah awadumishieni ndoa zenu 2
  • @
    @fauzakassim22713 years ago 😍 mashaallah allah awadumishe kwenye ndoa yenu mpate watto wenye kheri na nyinyi inshaallah , Amiin yaraby kwa sote 7
  • @
    @bintihadjara093 years ago Ninanyo kupenda Shekh wangu Allah pekee juu unajuwa kunikosha mtima wallah Allah akulipe kheri inshallah baba 22
  • @
    @muslimahsista3 years ago Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatuh
    Ma sha ALLAH TabaarakAllah nyote, Sheikh Othman Michael na wageni wake wote.
    Kwakweli wanapendana, tena saana bwana anampenda saana mkewake ambaye nimrembo saana Ma sha ALLAH, ila nifitina ya Sheytani tu imewapiganisha. SUBHAANALLAH.
    Kwakweli hakuna binadamu asio koseya, almuhiimu ni kusikizaana na kuvumiliana, kila ndoa inakisa chake (hakuna ndoa yaraha, ila rahayake na mapenzi yakila ndoa nikuvumiliana nakusameheyana, hiyo ndio ndoa yakweli.
    Kipindimkizuri saana, thanks for sharing.
    ...
    1
  • @
    @sadaralmas41852 years ago MAASHAALLAH.ALLAH AKULINDE.UNATUELIMISHA MNOOMW,MUNGU AKUPE UMLI MREF NAAKUPE PEPO
  • @
    @mabyserolouchcraig24313 years ago Allah Akbar asante Shekhe kwa mafunzo yako kuanzia leo sitothubutu kumjibu vibaya mume wangu😢😢😢 Nampenda Sana 8
  • @
    @fetysukafetysuka88113 years ago mashaallah allah kakuruzuku hekima namuomba akuzidishie elim yenye manufaa mpk siku ya mwisho inshaallah 11
  • @
    @jokhamsuya60883 years ago Mashaallah hatimae ndoa yao imenusurika Alhamdulillah,,,,,shukran sana Sheikh Allah akuzidishie hekima zaid hakika kwa kila unachokifanya Allah akulipe kher zaid tunajivunia sana sheikh wenu tunakupenda sana kwa ajili ya Allah ... 2
  • @
    @mwanaidimohamed17573 years ago MAshallah shekhe othman Mungu akupe maisha marefu na hekima kama wana wazuoni maana subira ulionayo sio ya kitoto hakika Mungu amekupa ujuzi, subira kweli Mungu tunasema asante kwa kutuzawadia shekhe Othman Mungu endelea kumlinda na kumpa ujuzi ili tusalimike na moto wa Jahanam. ... 1
  • @
    @neemalucky36653 years ago Walai ningekujua shekh ndoa yangu isinge vunjika dah Nakuombea kwa Allah akujaalie maisha marefu inshaallah 8
  • @
    @ashourahsaleh89583 years ago Asslama aleykum warahmatullah wabarakat sheikh wangu nakuombea mungu azid kukupa afya uzid kutupa elimu insha Allah na Allah akulipe ujira ulio mwema leo dunia na kesho akhera amiin. 16
  • @
    @ammarsalah56933 years ago Allah azilende ndoa zenu In Sha Allah na sisi atujaalie ndoa zilizokuwa thabit na zwnye kheri na sisi...
  • @
    @breackychangwe73263 years ago Ni ndefu lakn nimesikiliza mpaka mwisho...Hakika mungu ni kila kitu kwenye maisha yetu. 8
  • @
    @muslimaabdiwahid69833 years ago Masha Allah sheikh osthman may Allah bless you masha Allah 🤗❤ 18
  • @
    @ndohoriomsacky4452 years ago Shehe una hekima ya mungu kakutunuku aliyokupa ipo ndani yko kwakwaeli wanaume wajifunze kwa mafunzo yako talaka siyo nzuri talaka wanaume wajifunze hata sisi wanawake pia tujifunze , shehe kwakukataza talaka nimependa ndoa Zita dumu shehe unakinywa Cha hekima busara kubwa mno ...
  • @
    @hamisomuya8553 years ago Dah mungu atufanyie wepesi kwenye ndoa zetu mashaallah nimefurahi sana 1
  • @
    @ALIMOHD-bk9lr3 years ago Uzuri wa mwanamke Ni ktk NDOA. Huko nje Ni kuotezeana muda tuu. Mungu AWAPE kheri na muishi upya ktk NDOA yenu na SHEIKH WETU othman michael Allah SW akubariki kheri, hekima na busara 🙏 4
  • @
    @thuvakonde25843 years ago Shehk wallai Allah kwakweli akulipe kila la kheri kwa haya unayoyafanya mana kunusuri ndoa za watu sio jambo dogo Allah akujaze kheri 5
  • @
    @lkshmykomar54723 years ago mashallahu mungu aidumishe ndowa yenu yarab muhfadh shehe Othman na umpe maisha marefu yenyeher na baraka Amina Yarab alamin 1
  • @
    @kwkw57233 years ago Jazzaqallahu kheri sheih allah akuzidishiye tawfiq 1
  • @
    @jasminhassan69713 years ago A/Alaykum,Huyo Mzee Namfahamu Nimewahi Fanya Nae Kazi Na Tulikosa Ajira Papoja,Pole Shekh Fadhili Kwa Mitihani Ya Ndoa 13
  • @
    @ashasudi88023 years ago mashaAllah, suluh tu wawaweza sheikh letu Allah kakuchagua alhamdulillah, Allah akujaalie uzima nguvu ,afya na umri mrefu usaidie umma in sha Allah. 4
  • @
    @sharifafatawy98743 years ago Alhamdulillah 🙏🏽 shekhe unatupa ujasiri ktk ndoa zetu.Allah akupe umri mrefu in shaa Allah . 2
  • @
    @yasodishonest97923 years ago Shekhe OTHMAN.wewe fundi mashaallah.wenyewe wana kubali👏❤😄 16
  • @
    @smaihsmaih28153 years ago shekhe ma shaa ALLAH
    shekh maarifa mola akuzdishie
    3
  • @
    @fatimahhassan59043 years ago BISMILLAHI WALLHADHULILAH WA SWALATHY WA SALAM ALAA RASOOLY ALLAH...TAKBIR ALLAHU AKBAR KABIRA...WALLAHY NIMEFURAHI SANA SHEIKH OTHMAN MICHAEL...ALLAH AKUZIDISHIE KHERI KWA ELMU ALIYO KUJAALIYA KUTUELIMISHA NA SIYE WAFUATILIYAJI WA VIPINDI VYAKO VYA NASWAHA...WALLAHY IM HAPPY NAJIHISI KAMA MIE UMENIZAWADIYA! ...
  • @
    @salhaal.29223 years ago Masha Allah Sheikh una hekma nyingi Sana Allah akuzidishie kipaji Chako nimejifunza mengi kupitiya Hawa Wana ndowa jazakallahu Kheir 1
  • @
    @aminakidunda89813 years ago Mashaallah sheikhe allah azidi kukupa afya njema uendelee kuokoa yale yanayo hitaji suluhu wallah allah yupo nawewe jambo linakuwa huku badaye linakuwa jepes mashaallah 4
  • @
    @faizanassor63363 years ago Shukrain shekhe wetu allah akujalie afya njema akuifaidhi mashallah tunafaidika alhmdullah tunazidi kusoma mengi kutoka kwako sheikh wetu allah ndie atakae kulipa kwa kheri nyingi unazo zifanya 15
  • @
    @njerisaid40843 years ago Tuombeni Maghfirah kutoka kwa Allah kwani sote twakosea. Ila nitoe maoni tu, sheikh othman, tafadhal fanya hima kina Dada wote wakija kwenye kipindi hiki wavae niqab ama wajifinike vizuri, naona haya vile ambavyo kina mama tunaumia na tunalia na kuonyesha hisia huku machozi yakitutoka na pia kuficha sura itasaidia pakubwa kuondoa stigma.
    Tuwe sote niwenye kupata faida kutokamana na darsa hizi. Allah akupe tawfiq na akuzidishie hikma sheikh wetu
    ...
    2
  • @
    @angelsylvester47953 years ago Hahahaaaa yani siamini kama imekuwa kheri leo bibie anapiga goti shekhe mie nakubali sana nasaha zako mola akupe umri imenivutia sana shekhe🙏🙏🙏🙏😍
  • @
    @arafaomari76893 years ago Maa shaa Allah sheikhe Allah akupe maisha marefu tuendelee kufaidisha
    Katka hili nimejifunza pakubwa sana jazakhalau khery hakika hekma zako Maa shaa kiukweli zinatoa machozi ya furaha na huzuni ndani yake Sina mengi sheikhe bali nakuombea dua Allah azidi kukuongoza na akuzidishie hakma katka mambo mazito kama haya ...
    1
  • @
    @Baharia3 years ago Allah akulipe kheri ustadh na tuombee dua pia sisi tulio na matatizo kwa ndoa zetu Allah atuondolee huu uzito
  • @
    @sendarokhatwibu51073 years ago Baraka Allah fika ust Athumani Michael hakika kheri kubwa unaifanya mm nipo cairo nakufuatilia kwa kweli na farijika kuona watu wana komboka katika matatizo yao ndoa . 7
  • @
    @leylayusuf4353 years ago Mashallah shekhe Allah akulipe kila ulifanyale liwe nakheri naww na malipo mema kwa Allah 3
  • @
    @piliramadan875last year Hongera kwa kutoa zawadi za wapendanao
  • @
    @sharifamohamed44523 years ago Mashaa Allah ostadh michael unahekima sana,,sisi wanawake Allah atuongoze 5
  • @
    @omarimichel10793 years ago Ivyoo ndivyo qudra ya Allah ilivyo pahala ambapo mja kwake yeye haoni njia ,Basi Allah aweka njia kwa wepesi zaidi , allah akulipeni kheri nyote kwa jumla. 7
  • @
    @NadiaNadia-gb7zs3 years ago Mashaallah shekhe Othiman mwenyezi MUNGU akupe maisha marefu yenye kheri na baraka nabarikiwa na vipindi vyako 1
  • @
    @Ukhtyzuhura3 years ago Ma Shaa Allah
    Allah Akbar
    Allah awadumishe ktk ndoa yenu
    3
  • @
    @joharijj21643 years ago MashaAlla tabarakalah ya rahaman... Mabrook shekh wetu 5
  • @
    @aminaomar45683 years ago Asalaam aleikum warahmatullah wabarakatul Sheikh pia naomba unitiliye Dua nipate mume mzuri nilikua kwa ndoa ingine ikawa na changa moto nyingi, niliachika kwa 9yrs now 2
  • @
    @saikkyiddy81293 years ago SubhanaAllah Allahu Akbar Mungu niepushie mabalaaa haya ktk ndoa yangu na inshaAllah Mungu akupe subra Dada Angu Mungu atakupa nguvu
  • @
    @waldaally41783 years ago MashaAllah Allah akuzidishie sheikh wetu 14
  • @
    @ahmedaljabri12063 years ago Masha Allah tabalaka Allah na
    Nasahayako inshallah mnyazimngu akuzidishie akupeisha mlefumbeleza mnyazimngu
    2
  • @
    @didaamohsin65943 years ago MASHA ALLAH..
    TABARAKA ALLAH...NAPENDA NASAHA ZAKO SHEIKH UNAGUSA HISIA ZA WATU..ALLAH AKUZIDISHIE UMRI..UZIDII KUTUNASIHI NA MAMBO MEMA
    1
  • @
    @mejumaamwachirero73243 years ago Alhamdulillah mpaka machozi yamenitoka kwa kuona mke amuangukia mmewe.Acha nijitahidi kumlea mme wangu awe na furaha 24
  • @
    @yusufhussein49313 years ago Allah akupe kila la Kheri sheikh Othman. 4
  • @
    @piliramadan875last year Maashaallah maashaalla Safi sana khabint
  • @
    @afric013 years ago Aslm alkm wtw.... Zawadi ni chochote Sheikh Othman. Na umewapatia zawadi ya ukumbusho. Hakuna kovu ya mke na mume Sheikh wetu. Umejaribu sana kusuluhisha ndoa hii. Dah ilikua so very complicated. Allah azidi kukupa hikma ili tuweze kunufaika kupitia wewe Sheikh wetu ma sha Allah. Allah akulinde. ... 2
  • @
    @ashasudi88023 years ago Wallahi sheikh letu unabudani kwa style talaka ni basi,hakuachiki mtu hapa,ibilisi koma.....penzi lirudi upya in sha Allah, raha kweli ,zahma lakheri. 11
  • @
    @suhaylajuma576110 months ago 😂😂😂mashaaAllh tabaaraka llah jazakqllh khayran❤
  • @
    @rajabujuma9030last year Alhamdulilahi Rabil A'lamiin kwa suluhu yako nzuri alokujaalia Allahu (SW ,lakeni hiyo zawadi ya Ufkirisho,Wallah ninzuri sana.
  • @
    @sifajacky77793 years ago Sheikh Michal, Allah akupe mema hapa duniani na kesho aherah Inshaallah 7
  • @
    @salamakaliasi93583 years ago maashallah Allah akubarik Shekh kwa hekma ulizotumia 6