Duration 11:15

Dakika 10 Za Maangamizi - Michano ndio ipo hapa

84 707 watched
0
1.1 K
Published 7 Sep 2020

#PlanetBongo #EastAfricaRadio #Dakika10ZaMaangamizi Facebook: https://www.facebook.com/EARadio/ Twitter: https://twitter.com/earadiofm Subscribes: /channel/UClYL5SSefPhe-FCxFvXOreg

Category

Show more

Comments - 281
  • @
    @amaniamani65204 years ago Iam watching over and over again. you nail it son. keep repin' 2
  • @
    @JeronimoSimon653 years ago The future of tanzania hip hop is in safe hands. Shobi finest. 2
  • @
    @baylonlonboy49454 years ago Huyu jamaa ni shida anae kubaliana mm gonga like. 80
  • @
    @adamdemarch55654 years ago Kama bado unasikiliza haya mauaji dondosha like hapa. 14
  • @
    @SHAFIKIMANGA15 months ago Kama unaamini huyu jamaa ni noma. Gonga like hapa.
  • @
    @hansmtalikwa97452 years ago Arudi tena huyu jama, kama unakubaluna nami gonga like. 2
  • @
    @johnizoboy2 years ago This guy has nailed itukimsikiliza vizurii unapata combination ya artist wengi sana, kwa mbali kama maarifa, kama mrisho mpoto, kama dizasta vina, ngumu ila flavor tamu sanaa. 4
  • @
    @willstartvonline19194 years ago Boshoo ninja ni mwisho kwa korogwe tanga ila mbeya boy chuma tunakuheshimu. 2
  • @
    @davsondennis75834 years ago Shobi mzawa nakubali askari wangu. Mugabe 96 hapa nexxt time sasa aletwe jaroma omick. 9
  • @
    @bernardmkuffya51713 years ago Ammzawa, u are the best of the best. Umetisha sana yaani kwanza unaifeel hip hop, iko ndanisana. Nacoment kutoka south africa. Capetown! 4
  • @
    @omaryphua1912 years ago Dah huyu anatukumba marehemu ngwair king of free style huko vzr aisee. 1
  • @
    @prophetjacksonjoel4 years ago Huyu jamaa anajua punchlines zake ni smart sana. 8
  • @
    @leonardtiato50944 years ago Demu wako anakwambia usiku mwema na ni saa mbili hapo unaibiwa hii lyrics nakubali. 3
  • @
    @ogdtheboytz81338 months ago Mwamba ninoma sana ila arudi tena bwana mana nomaaa sanaa. 1
  • @
    @yascomdoe56863 years ago Unawez tamani kuwa mimi n mwisho ukawa mimi mars. 2
  • @
    @denismakweba38704 years ago Xhobinmb
    national military bar. .
    3
  • @
    @ramsonotorious52324 years ago M, baba sna bud kukoment we nimekuele wa aaa ninoma mwamba hyo ndio hiphop kutoka home tanga tz nakubar wana mnatuakilisha wapenda michano wenzenu kutoka t, a, big up sana bro. 3
  • @
    @martinmsigwa90664 years ago Andikeni kwenye title jina la msanii kama promotion Mazawa korogwe finest 5
  • @
    @JeronimoSimon654 years ago Unaweza wish kuwa mimi mwisho ukawa mimi mars. 2
  • @
    @mrundumo13264 years ago Dah dj sama hizo bit unavyoziingiza ni hatar aise. 13
  • @
    @abdulmohd68804 years ago Unaweza wish kuwa mm mwisho ukawa mimi mars mamako muhuni, unajua sn broo. 13
  • @
    @lucaskitambi41923 years ago God is good, kwa mnaosaka, na kukuza vipaji munguhuyu. Hi. 1
  • @
    @emanuelsamkinda13794 years ago Naona pengo la jr junior, yukowap asee? 8
  • @
    @jumazinga9414 years ago Shob mzawa the inkli
    umetsha sana.
    3
  • @
    @kibemudy81372 years ago Gonga like km huy jmaa mkali mm nmkbli xn. 1
  • @
    @kiondosaimon61494 years ago Mwana anajua " mwambie dada yako aje ili mwambie siko single" 1
  • @
    @kumwambamc75394 years ago Hakuna cha chuma wala boshoo huyu jamaa ni noma. 1
  • @
    @williamottow22532 years ago Baada yambea boy chuma, anaefuata nihuyu jamaa atar sana. 1
  • @
    @naesolo14434 years ago Jamaa anajua sana yani demu mimba inaiwiki anachagua mboga wallai iyo noma. 2
  • @
    @edsboresha25714 years ago Kwanini nipime ukimwi wakati dawa hakuna, huu mchano fala sana, umeua. 13
  • @
    @kumwambamc75394 years ago Nakubali sana
    dulla nataka na mm nafasi
    by kumwamba boy mc.
    1
  • @
    @faustinewilliam4908last year Jamaa mwanzo mwisho hatumia maneno makali. 1
  • @
    @lezamnukwa83284 years ago Mzawa mkali sana vitu vidogo sana ndo tatizo narudia jamaa mkali. 1
  • @
    @abubakarmpole40004 years ago Sichoki kuckiliza michano ya huyu jamaa. Jamaa anajua. Hapa khaligraph johnes wetu hawezi. 1
  • @
    @tembomnyama23104 years ago Oya! Demu wako anakucheet. Yaani saa mbili kasoro anakwambia usiku mwema. 7
  • @
    @neemacharles13903 years ago Naomba mnuache kwn nikidondoka hamjui ninanko dondokea. 1
  • @
    @jaytemba2553 years ago Dulla huyu mwana ni mwanahiphop asilia kaua sana.
  • @
    @frankpusindare96444 years ago Geto tunaishi kwa lensi tukula samaki kumbe tunazoomzoom dagaa. Dooh kiled it. 2