Duration 20:40

UKIMUOTA MWANAMKE KATIKA NDOTO | BASI HIKI NDIO KITACHOKUPATA | SHEIKH KHAMISI SULEYMAN

143 294 watched
0
861
Published 30 Mar 2020

Ulimwengu Wa Ndoto Na Tafsiri Zake #MasjidMtoroTv #Ndoto #Njozi

Category

Show more

Comments - 149
  • @
    @greatiq78353 years ago Asalaam alaykum, sheikh! Nimeota namsindikiza msichana (aliye vaa sketi fupi iliyo ishia mapajani na blauzi yenye mikono iliyo ishia nje kidogo ya kwapa) . ...Expand 1
  • @
    @allymuhammad3252 years ago Anazunguka sana ndio shida yahuyu shekh. 12
  • @
    @yusuphsixbertis55383 years ago Shekh. Umechukua
    muda mwingi sana kwa utanguliz.
    6
  • @
    @badruzaid64212 years ago Shekh ukitafsiri ndoto nenda kwenye ndoto ila maelezo mengi hadi mtu anaona tab kusikiliza. 3
  • @
    @user-fe1vp7bn3l5 months ago Mashallh ktk mashehe wa ndotobasi ww ni horari, nakufatilia sn.
  • @
    @muhsinsaleh21923 years ago Assalaam aleykum, nimeota ndoto nimepigana na mwanamume nikamuua, sheikh nini maana yake.
  • @
    @abudahmed52937 months ago Nime muota mwanamke mwenye mwisho kionana ni kitambo sana ame ni jia mara mbili katika ndoto.
  • @
    @mariamharoon18404 months ago Pia nimeota rafiki yangu anapa kisavu kizuri sana.
  • @
    @ndeke_tz9 months ago Nakushauri tu sheikh ww kutafariri ndoto acha toa mawaidha ndio yanakufaa maana unachukua muda mwingi kutoka mawaidha.
  • @
    @user-hh1jd2gs1j4 months ago Kwani, ukisalimia na kumshukur allah then ukamswalia mtume halafu ukaenda kwenye point shida ipo wapi? Mnajizungusha sana. 2
  • @
    @ashakhamis33604 years ago Shukra. Je ukiota mwnaume mzur ndoton amevaa kanzu kwa mwnake nn maana.
  • @
    @zaharaallymwndelezotunatak8184 years ago Mie nimemuta mwanamke mjazito mimba imtoka nn mana yake. 2
  • @
    @maugotv28362 years ago Asalam aleykum nimeota mama yangu anaumwa yupo hospital, 1
  • @
    @chrislacarin43324 years ago Vipi sheh na ukimuota ambae una mjuwa alafu una msindikiza. 1
  • @
    @sheilah91019 months ago Mwanaume ukiota uko na mpenzi wako mwanamke beach mnaogelea umembeba yamanisha nini. 1
  • @
    @zeenapangani74374 years ago Asalam aleikum. Juzi niliota mwanamme alikuja kwetuna wazazi wangu. Nikafanya mapenzi nayeye kwa ndoto. 2
  • @
    @mariamharoon18404 months ago Nimeota rafiki yangu anapa uji ni mwanake.
  • @
    @perusephares12392 years ago Shehk mm nimeota mwanamke alienitoa kwenyendoa yangu kaja nabegi ananiambia nitunzie ndoa imenishinda huyu unamuweza wewe tu mm siwezi baadae akaonekana . ...Expand
  • @
    @seifomary552111 months ago Shekhe nimeota wanawake wengi wananisifia.
  • @
    @josuemalega-ec7pjlast year Hatuna shida nahizo nyimbo zako, tuna shida na point yenyewe. 1
  • @
    @kirungekirunge59202 years ago Mimi nimeota mwanamke ila kama kivuli na tunatembea sokoni ila yupo nyuma yangu na amejistiri kavaa baibui na ijabu ila nikivuli.
  • @
    @user-ou5ti9eb1i10 months ago Sheikh una maelezo mengi yasiyo ya lazima, punguza maelezo.
  • @
    @abdalahleonad90253 years ago Unamambo mengi sana wew nenda kwenye mada kuwa kama wenzako maneno mengi unafer mzee. 7
  • @
    @ibrahimkhatib28994 years ago Huu ndio uliwakati tulio ambiwa kua wanazuoni wataondoshwa watabaki watu kama hawa shekhe qur ani hiyoo sio gazeti tafuta alie kuzidi katika kuisoma qur . ...Expand 4
  • @
    @yusufabdallah80354 years ago As. Alykum jaribu kuwa fasta na kulenga lengo. 7
  • @
    @nassirfarah3159last year Nimemuota mwanamke wa kizungu hii imekaaje sheikh.
  • @
    @salamanyimbo7029last year Tatizo unaongea sana mambo ya hadidhi yanini? Hauko speed kama wenzako mb zimepanda bei. 3
  • @
    @user-vx2rn1jq6s5 months ago Na ukiota upo msiban kwenye uo msiba na mke mwenzio yupo yy akawa anafokewa na mume watu wakawa wananiambia umefrah mwezio kafokewa.
  • @
    @jumannemazengo35112 years ago Nimeota niko mton nachezea maji na mchumba wangu yan tunamwagiana maji hayo ya mto tukiwa tunafrahi.
  • @
    @muidinimohamedy23812 years ago Salaam alaykum hustadhi a samaani leo nomeota nacheza mpila halafu nimefunga golli.
  • @
    @waziriali78958 months ago Assalam alaykum sheikh nimeota wanawake wawil wapp inje ya duka lao mm nkafka pale nikafumgua mlango wa duka nikaingia ndan halaf nikatoka nilipfka nje nikawakuta wale wanawake na mtu aliekufa anapita pale.
  • @
    @aminaibrahim76402 years ago Shekhe ukiota umeachana na mme au mpenz wako je inakuwaje.
  • @
    @annamwambe95592 years ago Mm nimeota mwanamke namm nimwanamke tena nimara ya pili hii ananipa dawa ya kijani iko km hina.
  • @
    @solsimaniakanam78437 months ago Mimi nimeota nikodani ya nyumba yangorofa mkemweza akaniabia tushuke kununua vituvya kunywea chai nikamwabia sishuki nasikonaena mimi piasimjuwi niko ichiyengine naepiya yukoichi yengine nikajikutaniko nikonae pamoja ni mweusi ilanimemuona nimweupe na alikuwa nafurahatu kawaida ilachai hatukunywa nikashitukata yariameshuka akaenda pakamwa mama bwana. Mimi nikawaniko paledani yanyumba juyangorofa ndionika amuka sijuwi inamanishanini babangu. ...Expand
  • @
    @davidmkayula32432 years ago Shehe wangu nimeota wanawake wawili wazuri wapo kwenye gari na mtoto mdogo lakini baadae yule mtoto akamfunua mmoja wapo nikawa nimeona makalio yake na . ...Expand
  • @
    @khadijamohammed32014 years ago Mimi nimeota nimekojoa na kuamka kweri nimekojoa iyo inshaallah yanini shekha kwa mala ya kwanza toka nizariwe naomba msaada niambie.
  • @
    @bretengood50383 years ago Mm nimemuota mwanamke mzuri akiniongelesha na kunikonyesha lakini ile natoka tukamuona simba akaanza kutufukuza nini hii maana yake ety sheikh.
  • @
    @muhammadahmedaliyyu38544 years ago Jee na upande mwengine wakike maana yake ni hio? 1
  • @
    @reginasalimu44714 years ago Naomba unitafsirie ndoto hii ukimuota baba amekufa na unalia sana huku ukisema baba ulinambia hutokufa mapema.
  • @
    @ciciliaapalat41114 years ago Ukioto mwanamke anamka kwenye kaburi na a anakumbiza kisha unaanza kupigana naye hadi apotee na unamshinda maanake nini?
  • @
    @fatramabm1307last year Jitahid kupunguza kuzunguka eleza point inayohusika ili tuelewe.
  • @
    @rojatv1673 years ago Mimi nimeota nimemuona mwanamke ambaye namjua kavaa kimasai nini maana ake. 2
  • @
    @kombohamissi71074 years ago Shkh m nmeota namshka mkono jee inamaana gn?
  • @
    @lucykulali75874 years ago Ukiota mwanamke wa dawa y kienyeji manake nn. 1
  • @
    @bashirkhan41114 years ago Sheikhe ukiona unauza biashara kharam km unga nn maan yke.
  • @
    @ashurasaid50173 years ago Nimeota wanawake wengi wamevaa ushungi na wakaniangalia kwa chuki sana wakapita kisha akaja mtoto mdogo was like akaniijia na kunipeleka sehemu kisha nikamkuta . ...Expand
  • @
    @guhgghhg85923 years ago Ukiota wana wake wengikula na ukala ila cakula unaco kula hakieleweli maana yake nini. 1
  • @
    @mariambilonkwa51835 months ago Shehe punguza maongez tunakufatilia xn.
  • @
    @babymummie44683 years ago Ukiota unalala na mwanamke na ww n mwanamke ina maana gani.
  • @
    @muhsinsaleh21923 years ago Ndoto yangu nyengine
    1. Nilimuota namkanda mwanamke mgongoni mpaka miguuni, na wakati nikimkada alikua akiskia raha.
    2. Nilimuota mwanamke ananisafirisha ila tukakosa safari na hatimae tukarudi.
    2
  • @
    @aishajuma468last year Me nimeota mwanamke kavaa nguo nyeusi ananizunguka nje maana yake nini?
  • @
    @jumamohamed15263 years ago Sizani kama kuna mwanamme hakuwahimwanamke.
  • @
    @habibabishar19054 years ago Na kama mwanake mwenyewe ni yule hamna uhusiano mzuri na huyo mwanamke ni mjamizito na mnakutana yeye anajaribu kuficha huo mimba huku anacheka.
  • @
    @jeremybr4403 years ago Sheikh mienimemuota mpenzi wanguwazamaani nimerara pamojanae nyumbani kwake kitandani nawakati tumeisha achana nini maana niripo amuka nikamushika kwaziwa lake nini maanayake.
  • @
    @salummrisho58252 years ago Shekhe mim huwa naota mme wang kaniletea bint aliyempa ujauzito nyumban kwang niishi nae halaf sasa mme wang anakuwa hanisemeshi mim anakuwa bize tu na huyo bint msaada tafadhal maana inajiludia sana.
  • @
    @shariffkareem8045last year Nime ota mwana mke ame kaa uchi alafu mi sikutaka kumuangalia.
  • @
    @marymasawe98543 years ago Mm nimeota mwanaume ananiaga ananiambia kwaher sitakuja tena kwako na uyo mtu ni mpenzi wangu maana yake ni nn. 1
  • @
    @fadhilaburuhani17742 years ago Ila sheikh mbona kama tafsili yako inahusu wanaume tu. Na sisi wanawake tukiona wanawake ndotoni? 1
  • @
    @jiddahadam5784 years ago Shehke mimi ni mwingi wakuota ndoto za kweli kwa kiasi ila nikisema mapema kwamtu kuwa mm nime ota aita kuwa kweli ila nikinyamaza ina kukweli alafu nisaidie . ...Expand 1
  • @
    @lydiajosephine4146 months ago Nimeota ninaongea na mwanamke ambae aliamua mumpeleka mwanae kwa mama yake alafu akaniambia kuwa anataka kwenda kufanya kazi uk na mimi nikamjibu nami . ...Expand
  • @
    @MahmoudAli-uk8ci4 years ago Shehe rudi chuoni kidogo mbona unazikata kata. 2
  • @
    @amidoubk68924 years ago Naam sheikh kwamfano ukiota ndoto mbaya nini kifanyike ukiota maliyako inakutoka ufanye nini.
  • @
    @josephinamussa17092 years ago Punguza mda wa utangulizi wewe uwe unaenda directly. 1
  • @
    @wambogootieno47624 years ago Wengine wetu si waislamu hivo basi enda kwa maana ya ndoto direct. Usipoteze muda na mambo ya uislamu. 2
  • @
    @johnpepe9802 years ago Bwana mkubwa sisi tunajua kma njozi zimaushahidi ktka qurani ila unamambo mengi kweli hem nenda ktka pwenti qurani yenyewe unaisoma makosa naww.
  • @
    @leylahchesavio95514 years ago Ukimuota ndugu yako anatembea na mume wa mtu na yy akawa anajeur kukubal like swala na kusema kanifat mwenyew. 1
  • @
    @deogratiusyudatadei56582 years ago Yani sheh unachukua muda sna tafsri ya dakika tano unaifanya kuwa nusu saa nahata haiyeleweki. 1
  • @
    @allygosso80844 years ago Je ukimuota mwananke amezaa mtoto mdogo akawa ameanza kuongea haraka na kila unachomuliza anakijua inamaanisha nn. 2
  • @
    @monalaizarajabu2564 years ago Mimi nimemuota mwanamke mjamzito ilasiomim. 1
  • @
    @samiasadiki29284 years ago Je kama umemuota mwanaume ukiwa umeolewa na, inamaanisha nini? 2
  • @
    @salmasaidi28754 years ago Mie nimeota ni mwanamke mzee anaye pambwa kiarusi aolewe na mume, na mume namjua ila mke simjui mzee kwa uso ila mwili sio wakizee. Maana yake nini? 1
  • @
    @issambeo53723 years ago Nimeota nyoka was rangi, nikataka kupiga nilipopiga nikamkosa na nilipoiingia chmba fulani nikamkuta tena nikakimbia kuleta fimbo sikumkuta nikachoma id="hidden13" majani yaliyokuwemo chumbani humo. Mara nikamuona amesimama nje na mara akageuka msichana akaniuliza unataka kunipiga wakati mimi ninakulinda. Basi nikamwambia usiwe unanitisha na tuwe marafiki na nikambusu paji la uso. Je maana yake ni nini?. ...Expand 2