Duration 11:52

Kuku Village, Tuna Kuku Wazuri Sana Mbegu ya Kienyeji, Jionee Mwenyewe

11 472 watched
0
102
Published 30 Sep 2020

#KukuVillage ni moja ya Shamba lenye kumiliki kuku wazuri sana wa Kienyeji, naweza kusema kwa nchi nzima, sisi tunaongoza kwa kuwa na mbegu bora za kuku wa Kienyeji . Kwani kuku wetu wanakua haraka ni wakubwa sana. Na wana nyama nyingi. Si hivyo tu ni walaliaji na watagani wazuri sana . Huweza kutaga mayai mpaka 22 kama ukiwaondolea mayai, na kutaga mayai mpaka 18 kama hautoondoa mayai. Na hulalia na kutotoa vifaranga wanene, wenye afya na imara kweli kweli. Kama haujapa Mbegu zetu Hebu Tupigie #piga0621063255 ili upate Mbegu zetu, hakika utafaidika sana. #Poultry

Category

Show more

Comments - 66